Wimbo wa Michael Jackson "Liberian Girl"

Wimbo wa Michael Jackson "Liberian Girl"

Ndalama

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
8,787
Reaction score
6,542
Wanajamvi naomba kuuliza kwa wale wajuvi wa mambo ya miziki ya Pop, Hivi huo wimbo Michael Jackson aliuimbia wapi? Au alishirikiana na nani? Maana kuna maneno ya kiswahili yale "...Nakupenda pia nakutaka pia..."
 
Kaimba usa lakini kaka yake jermane jackson ndie alianza kuimba na kuweka maneno ya kiswahili inaitwa COME TO ME na maneno ya kiswahili NJOO KWANGU
 
Kaimba usa lakini kaka yake jermane jackson ndie alianza kuimba na kuweka maneno ya kiswahili inaitwa COME TO ME na maneno ya kiswahili NJOO KWANGU

Nakushukuru mjusi ------, sasa huyo kaka yake anahusianaje na Kiswahili? Au kwa maana nyingine ana connection yoyote na Kiswahili?
 
Last edited by a moderator:
Liberian Girl

kilikuwa kibao cha tisa na cha mwisho kutolewa na Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1987 ya Bad. Kibao kimetungwa na Michael na kutayarishwa na Quincy Jones. Kibao hiki Jackson alikitunga kwa ajili ya marafiki zake wa karibu, Elizabeth Taylor (Msichana wa Kiliberia).
 
MJ na Mzee Mwinyi alipozuru nchini mwaka 1991
 
Attachments

  • 1433133590554.jpg
    1433133590554.jpg
    11.9 KB · Views: 305
Pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata michael kutokana na juhudi na misingi aliyojengewa na familia yake kimuziki ila ki ukweli huyu mzee Quincy jones alikuwa ni mwalimu mwenye kipaji cha aina yake,alichangia sana kumwinua michael,na michael alipoamua kumtema tu mambo yakaanza kumwendea kombo.
 
Nimependa wazo la video hii, kuwa watu wanasubiri MJ aje ili waanze kufanya shootin mara ghafla wanakuja kushtuka MJ ndo mchukua picha ya video kile wanachokifanya.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata michael kutokana na juhudi na misingi aliyojengewa na familia yake kimuziki ila ki ukweli huyu mzee Quincy jones alikuwa ni mwalimu mwenye kipaji cha aina yake,alichangia sana kumwinua michael,na michael alipoamua kumtema tu mambo yakaanza kumwendea kombo.

Hivi huyu Quincy Jones si ndo Director wa Cartoon za Tom n Jerry kama sikosei!!?
 
Back
Top Bottom