Wimbo wa kizalendo wa Afrika

Diksela

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
212
206
Aaaeee Africa eee, eee Afrika eee oooo Lipanda
(Aeeee Africa eee , eee Africa eee ooo Uhuru)
Kokata koni pasi, soki na kati koteka pasi ( Kukata kuni ni kazi ngumu, ukishazikata kuziuza pia ni ngumu)
Na pasi oyo ya boye ngai na bhana mawa nakoka te
(Magumu haya, mimi na wanangu siwezi kuyashinda)
Basusu oyo naponaka bawela bokonzi pe na ba vouiterie ooh
(Watu niliowapa nafasi wao wanaendekeza uchu wa madaraka na kujilimbikizia vitu vya thamani)
Ba vote tango ekomaka, ngai nakomi moto po na bango.
(Wakati wa kupiga kura ukifika, mimi ndio nakuwa wa muhimu kwao)
Nakomi tuna Mondele akende Lipanda to zuwaka oyo ya nani eeh Africa ee
(Nashangaa najiuliza, mkoloni alishaondoka uhuru tulioupata ni kwaajili ya nani eeh Africa)
Aaaaaeeeee Africa eee oooh Africa eee ooo Liberty.
( Aaaaeeee Africa eee ooooh Africa eee ooo Uhuru)

Wimbo unamaana sana kwa bara la Afrika na waafrika kwa ujumla hasa wenye uzalendo wa kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom