Wimbo wa Julie wa Bob Rudala

Wimbo wa Julie wa Bob Rudala

Kuna mwingine aliimba sijui binti gani.mistari.

Nilipokuona kaka moyo ulitikisika, mbele ya Mungu baba ..........,

Ni slow flani hivi.
 
Habari wapendwa.
Naomba kwa mwenye huo wimbo anisaidie nimeutafuta kwenye sites mbalimbali lakini nimeukosa.
Natunguliza shukrani.
Mtafute mtu wa Redio free Africa,wanaucheza sana Kwenye Radio yao
 
Dah! Wimbo naupenda sana.

Mwishoni zinapigwa ngoma za watani wangu wamakonde.
 
Wakuu mm nautafuta wimbo Bob rudala jina nimelisahau ntaweka mashairi yake hapa Kama hajaimba yeye Kama solo artist bas atakuwa ameimba na INAFRICA BAND


NASEMA ASANTE KWAKUNIZALIA MTOTO


MTOTO MTOTO MWANAMKE


SIKU MOJA ATAKUWA MKUBWA ATUSAIDIE SISI WAZAZI WAKE


mashairi yake Ni hayo hapo juu mwenye jina la wimbo au kma itawezekana uattach hapa tuupakue












Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom