wakunchenje
Member
- Apr 8, 2014
- 41
- 14
mwenye taarifa za lini wimbo huo utatoka au mike tee njoo utueleze huo wimbo utatoka lini? wadau tuna hamu ya kuwasikiliza wakongwe wetu walivyoutendea haki wimbo huo
makamanda njoo uku mlete majbu.