Jaman mwenye kumbukumbu na wimbo wa kingereza wa vijana wawili wa kike na kiume, wakiimba pembezoni mwa bahari na sehemu nyingine. ulikua na mashairi haya kama sikosei "...you give every thing all the time... " nauomba tafadhari, au link yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.