ma2mbo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 697
- 326
Andaa macho na masikio yako kupokea wimbo mpya wa taifa kutoka kwa living legend Diamond Platinumz ft P square.
Wimbo ni mkali, kichupa cha mwendokasi. Kiukweli japo wimbo bado sijauskia na video sijaiona ila nimekubali sana huu wimbo ni next level kila kitu on point.
Tupo maskani hapa hali ya hewa ni tulivu kabisa, upepo unavuma kimo cha joti. Tunaandaa futari ya mihogo na supu ya maharage. Tukiendelea kumsubiria Mond bin Laden aachie national anthem.
Simba amesema!