Nilidhani Labda Unaulizia Wimbo Wa JB Mpiana Kumbe Ni Wa Mwanafunzi Wa Chekechea Wa Muziki Aitwae Christian Bella! Kwa Kukusaidia Tu Ili Upate Mandhari Ya Wimbo Wenye Maudhui Kama Hayo Uyatakayo Tafuta Album Ya INTERNET Ya JB Mpiana Na Kundi Lake Zima La Wenge Musica BCBG Kisha Sikiliza Wimbo Uitwao " SANS TE TOUCHER " Ni Wa Rhumba Na Utafurahi Na Roho Yako.