Mimi nimiongoni mwamashabiki wa Diamond platnum, Nafikiri hakuna mtu ambae haujui wimbo wa nitarejea alio mshilikisha Hawa, Ombi langu nakuomba utunge wimbo mwingine ambao umerejea kijijini kuchukua familia yako na unaenda nayo mjini baada ya kufanikiwa, Kiukweli umefanikiwa na hujarudi tena kule kijijini yaani mpaka yule Hawa nae umemtelekeza, Matokeo yake umekutana na wamjini Mala Unataka kulewa, mapenzi basi,moyo wangu, lala salama, mala binadamu wabaya, nakiinglish umejua my number one, nasasa unasema ukimuona, hebu ni pm nikukalibishe kwenye harusi yangu. hongera kijana.
selfish

Sikuiz kawa bishoo haimbi tena nyimbo za design hii

Labda kama mnataka afanye acting badala ya kuimba maisha yake halisi... tukianza na "Nenda Kamwambie" hadi "Mbagala", enzi zile Diamond alikuwa famba tu aliyekuwa na haki na hai ya kumlilia demu... hata ukija kwenye hiyo "Nitarejea" bado alikuwa kwenye hustle! Kipindi hicho kishapita... inapokuja ngoma kama "Kesho", unajua kabisa si yule Diamond wa kulia coz' akitakacho anapata... kama anachotaka anataka kiwe "kesho", then kibongo bongo ni possible kwake hasa linapokuja suala la mashosti!! Hata ukija kwenye "My Number 1" bado ina-reflect yale yale maisha yake ya sasa... huwezi kusema "My # 1" bila kuwa na # 2, #3 n.k... kuonesha kwamba alikotoka si kule aliko sasa! Sasa ishakuwa ni kipindi cha "nimpende nani"... wapo wengi, tena wanajipeleka wenyewe; kwahiyo hakuna cha ubishoo hapo... ni real life...Na mm ndo nilipoanza kumchukia
hakika huyu kijana anajua kutunga nyimbo zinazogusa jamii,kiukweli namkubali sana na huo wimbo wa 'nitarejea' ameuimba kwa uhalisia wake na ni kati ya nyimbo bora alizowahi kuimba,kuhusu muendelezo wake kwa upande fulani ukiusikiliza wimbo unaoitwa 'lala salama' ni kama kuna kamuendelezo fulani hivi coz bado anamzungumzia mpenzi wake huyo aliyemuacha kijijini na yeye huku mjini mambo bado hayajakaa sawa,sio siri huu wimbo naupenda mnoooooooo..anyway haya ni mawazo yangu tu katika kumkubali huyu jamaa.Mimi nimiongoni mwamashabiki wa Diamond platnum, Nafikiri hakuna mtu ambae haujui wimbo wa nitarejea alio mshilikisha Hawa, Ombi langu nakuomba utunge wimbo mwingine ambao umerejea kijijini kuchukua familia yako na unaenda nayo mjini baada ya kufanikiwa, Kiukweli umefanikiwa na hujarudi tena kule kijijini yaani mpaka yule Hawa nae umemtelekeza, Matokeo yake umekutana na wamjini Mala Unataka kulewa, mapenzi basi,moyo wangu, lala salama, mala binadamu wabaya, nakiinglish umejua my number one, nasasa unasema ukimuona, hebu ni pm nikukalibishe kwenye harusi yangu. hongera kijana.
selfish
Nani wa kurudi tena kijijini maisha haya!!??Mimi nimiongoni mwamashabiki wa Diamond platnum, Nafikiri hakuna mtu ambae haujui wimbo wa nitarejea alio mshilikisha Hawa, Ombi langu nakuomba utunge wimbo mwingine ambao umerejea kijijini kuchukua familia yako na unaenda nayo mjini baada ya kufanikiwa, Kiukweli umefanikiwa na hujarudi tena kule kijijini yaani mpaka yule Hawa nae umemtelekeza, Matokeo yake umekutana na wamjini Mala Unataka kulewa, mapenzi basi,moyo wangu, lala salama, mala binadamu wabaya, nakiinglish umejua my number one, nasasa unasema ukimuona, hebu ni pm nikukalibishe kwenye harusi yangu. hongera kijana.
selfish