Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,037 Reaction score 168,678 Oct 1, 2012 #1 Bwana nipe pesa, wananchi wana njaa; Huyo kiongozi wao, Apenda kutangatanga; Hata majirani, wamechoka kumuona; Wakusema, "fungeni milango anakujaaaaa!"
Bwana nipe pesa, wananchi wana njaa; Huyo kiongozi wao, Apenda kutangatanga; Hata majirani, wamechoka kumuona; Wakusema, "fungeni milango anakujaaaaa!"
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,370 Reaction score 111,669 Oct 2, 2012 #2 Wadanganyika wanalia, hawataki kumuona...
ChaterMaster JF-Expert Member Joined Aug 17, 2009 Posts 1,623 Reaction score 808 Oct 2, 2012 #3 hata wa2 wa ARUSHA hawatak kumuona wanacema fungen milango anakujaaaaa!!! nao wa2 wa MWANZA hawatak kumuona wanacema fungen milango anakujaaa!!!!
hata wa2 wa ARUSHA hawatak kumuona wanacema fungen milango anakujaaaaa!!! nao wa2 wa MWANZA hawatak kumuona wanacema fungen milango anakujaaa!!!!
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,736 Reaction score 5,683 Oct 2, 2012 #4 Pikabom,ha ha ha jamaa ni wakare wametouch anapopenda kiongozi,kutangatanga,,now anatangatanga amerika
Pikabom,ha ha ha jamaa ni wakare wametouch anapopenda kiongozi,kutangatanga,,now anatangatanga amerika