Wimbo Kijiwe Nongwa wa ROSTAM na Nay wa mitego ni noma

nasikia muumimi alipigwa kifo cha mende..

mchungaji kwenye bleach la kikongo...

kuna mtu anapika anapakuliwa...

wabunge mbovu, ila kuna daktar wao a nakuja toka ubelgiji..

Walimpeleka mlevi afcon akacheze namba ya Mkude
Shikamooni Rostam
 
Kamtja lissu
Ndugai kama spika mbovu
Jiwe kama nabii
Lowasa kama mchunga ngombe
Shilole
 
Umechambua vizuri Sana hasa sehemu ambazo zingetuacha geza ulole.... Ila zile sehemu pendwa za kisiasa umeziacha aisee... Mi sijaelewa mariamu biriani Ni Nani mkuu
Ni mdada mmoja maarufu kwa kuuza biriani kuna kipindi video zake za uchafu zilivuja twitter na mitandao mingine ya kijamii
 
Art at it's excellence. Rostam never cease to amaze me at their creativity, And before I forget, the video director - He did a great job too!!
 
Hapo cjaelewa mkuu, naomba nieleweshe Gwaj alimlaza vp kifo cha mende?
Kuuelewa huo wimbo lazima uwe ushajiweka karibu na mitandao ya kijamii kwa muda mrefu. Otherwise you'll remain baffled to the end of the world!
 
1&2.ni shilole ana bwana wake fundi gereji wamefungua mgahawa ndo maanaa anasema kuwa wote wamekuwa mama ntilie
3.huyo ni jasiri RUGE kamaliza mwendo(kafariki)
4.Ni Uwoya (aliachwa na marehemu yule mwanasoka wa rwanda na mtoto..na yeye akaolewa na mtoto (dogo janja) akaachwa na mtoto (dogo janja) amebaki analea mtoto (wa huyu mwansoka alifariki)
5.Ni diamond jinsi anavyowagonga mademu yeye ndio ALMASI anayesemwa iliokotwa na Miss tz (wema sepetu)
 
since the day of its release i got the song very exciting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…