L lukwila Member Joined Dec 3, 2017 Posts 45 Reaction score 60 Sep 3, 2019 #1 Kuna ile tamthilia ya betrayal ambayo huonyeshwa na azam two kila siku za j3 hadi ijumaa saa 3:30,kuna ule wimbo uliotumika mle ndani nimeupenda sana ila tatizo siujui wa nani....kama kuna mtu anaufahamu anisaidie!!
Kuna ile tamthilia ya betrayal ambayo huonyeshwa na azam two kila siku za j3 hadi ijumaa saa 3:30,kuna ule wimbo uliotumika mle ndani nimeupenda sana ila tatizo siujui wa nani....kama kuna mtu anaufahamu anisaidie!!
Manofu JF-Expert Member Joined Nov 3, 2018 Posts 1,317 Reaction score 2,025 Sep 4, 2019 #2 Jericho Rosales a.k.a Rino kijana mchapa kazi mme wake na Jade ndiye aliyeimba ule wimbo maana yeye ni Actor alafu ni Singer.
Jericho Rosales a.k.a Rino kijana mchapa kazi mme wake na Jade ndiye aliyeimba ule wimbo maana yeye ni Actor alafu ni Singer.