Wadau wa nyimbo za Kwaya kuna huu wimbo unaimba hivi '' ingia ingia iiiingia furahani kwake Bwana..."
Nimeusikia leo kwenye redio, nadhani ni Kwaya Katoliki au inayoendana na hizo.
Naomba anayefahamu jina lake na umeimbwa na Kwaya ipi. Akhsante!
Ni kweli ni wimbo mkonge sana. Nitautafuta. Akhsante.
Kama uko Dar pitia vibanda wanavyouza CD za nyimbo na ulizia Albamu za Kwaya Kuu Kimara. KKKT, nina hakika utaupata.Wadau wa nyimbo za Kwaya kuna huu wimbo unaimba hivi '' ingia ingia iiiingia furahani kwake Bwana..."
Nimeusikia leo kwenye redio, nadhani ni Kwaya Katoliki au inayoendana na hizo.
Naomba anayefahamu jina lake na umeimbwa na Kwaya ipi. Akhsante!