Wimbo huu nitaupataje?

chokodari

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
1,446
Reaction score
1,243
Wanajamii wenzangu,

Naomba mnisaidie kuutambua wimbo, siujui jina but inadaiwa ameimba Mwafrika, sijui nchi gani hapa Afrika but Wahindi wameuiga kwenye movie inaitwa Gupt (wimbo unaitwa jina la hii movie Gupt) lakini original yake ni Afrika.

So kila niki-Shazam nipate zinazofanana nayo, hainipi jibu na wimbo huo ulitumika kwenye movie ya Kibongo, Shamba Kubwa, pale Seba anapofanya mazoezi.

But naitafuta movie hii Shamba Kubwa siipati; ingekuwa raisi kuupata wimbo huu na coz Shamba Kubwa ilitoka kipindi cha mikanda ya tape, sijaona CD yake.

Nitaupataje wimbo huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…