Jidu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 1,232
- 757
Nchi za Ulaya zimekumbwa na taharuki na kukabiliwa na idadi kubwa ya wakimbizi wanaojaribu kuingia kwenye bara hilo kukimbia machafuko na vita huko watokapo. Ila nisingependa nchi hizo kulalamika juu ya ujio huo wa wakimbizi kwasababu ni kati ya majanga waliyoyatengeneza wao wenyewe kwa kutaka demokrasia katika nchi husika.
Leo nchi kama Libya ambayo ilikuwa bora kiuchumi haitawaliki tena. Iraq na nyinginezo. Nchi hizi zimeharibika na hazina dalili ya kurudi katika hali yake ya zamani.
Leo nchi kama Libya ambayo ilikuwa bora kiuchumi haitawaliki tena. Iraq na nyinginezo. Nchi hizi zimeharibika na hazina dalili ya kurudi katika hali yake ya zamani.