Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Hmmmm...eti leo shahidi mwingine kajitoa.
Naona Uhuruto kweli wamenuia kuzihujumu hizo kesi dhidi yao.
Maana, iweje mashahidi wote hao wajitoe hivyo?
Things that make you go hmmm.......
Ni ngumu sana kwa vinchi vyetu hivi vya Kiafrika kwa wananchi wake kutoa ushuhuda dhidi ya 'viongozi' wao.
Witness tampering at its best.
Hata ingekuwa wewe ungefanya je hapo sasa? hio mbona ni obvious, hata ulaya inafanyika
Kiswahii kinakupiga chenga sio. Sasa wewe, mimi niandike kwa Kiswahili halafu wewe unijibu kwa Kiingereza. Bado unaamini unaeleweka zaidi kama utatumia lugha hiyo?What do you mean exactly? This has just started and and we have not had the opportunity to read it through. Is this your way of inviting us to comment?