William Malechela karibu sana chadema

hicho ni kirusi.... Afadhali kibonde kuliko huyo
 
haaaha bubu naona unampiga pini...mwache aje tu manake kwao hakubaliki sijui atakimbilia wapi akikataliwa na huku

Alivyokuwa zuzu mpaka leo hajui kuwa wakina Nape ni wasanii wamemlia hela zake bure, na kumliwaza wanampa matumaini kuwa atalipoka jimbo la Mtera 2015 ili hali anapiga porojo mjini Dar wakati mwenzie Kibajaj anakula NDIGWA na wagogo wenzie huko kijini!! Wagogo hawatadanganyika na kuhamia Mtera dakika za mwisho karibu na uchaguzi!!!
 
kama kweli analitaka lile jimbo sasa hivi angetakiwa yupo kijijini huko mtera sio hapa mujini na kina riz 1
 
ni kazi sana kuitetea ccm ama kuwa ccm hapa Tanzania ..mtu unapata shida sana kila sehemu ..huyu Willie nawapa miezi miwili lazima ajivue gamba ..karibu sana chadema jisikie uko nyumbani..
Malecela WJ Blog: PEOPLES POWER! M4CEEE!
kuna tatizo kubwa hapa tanzania la kimtazamo. mtu asiyeunga mkono CCM anatazamwa kama msaliti/adui si wa ccm pekee hata kwa nchi. hali hii imewafanya wengi waendelee kug'ang'ania CCM hata kama wanaona maovu yakiendelea. naamini kabisa kuwa ndani ya ccm kuna watu wangependa waondoke lakini wanaogopa waanzeje ni wale majasiri tu au wale walioumizwa waziwazi watamua kusapoti upinzani waziwazi. naamini kuwa kama tunataka ukombozi wa kweli sote hatuna budi kuunga mkono mabadiliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…