Will you try this eye/brain Illusion

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Hebu angalia picha hii (negative) kwenye dot nyekundu kwa muda wa sekunde 30 halafu angalia sehemu yenye uwazi kwa muda utaiona in color hii nimeitoa yahoo, i liked it, try it too.

hamtaki? mbona mmepiga kimya!
 
hamtaki? mbona mmepiga kimya!

Hamna mabadiliko hata baada ya kurudia mara tatu! Kama ni ushirikina basi umeshindwa kufanya kazi kwangu maana nalindwa na Mungu wa Israel, na Israel uchawi haufanyi kazi!

(Hata kama huamini habari ndio hiyo!)
 
Keep trying mkuu its very funny, utaniambia, you have to concetrate sio unafanya mawazo yako kwenye maji ya rangi ya mende lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…