Wenye ufahamu na hili,Baadhi ya vitabu wanaeleza kuwa shall inatumika kwa nafsi ya kwanza tu yaani(I & We) mf. I shall.... or We shall......
Lakini naona katika vision au mission za taasisi mbalimbali Wanatumia shall katika nafsi ya tatu umoja(Third personal Singular)
mf. HMS shall strive to attain highest reputable......
UFAFANUZI TAFADHALI.
"Shall" honesha command, authority na hali za kufanana na hizo. Ndio maana kwenye sheria neno "shall" hutumika kuonesha ulazima. "It shall be unlawful........"
"Shall" honesha command, authority na hali za kufanana na hizo. Ndio maana kwenye sheria neno "shall" hutumika kuonesha ulazima. "It shall be unlawful........"