Wenzetu walipambania Katiba, kidogo matunda ndiyo hayo. Muhimili wa Mahakama unajisimamia wenyewe. Sisi huku kuanzia juu mpaka chini, ni vyura viziwi!!!