Will he or won’t he?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,625
Reaction score
146,774
...that is the question.

He’s been quiet for a good minute now since his aspiration to become an MP didn’t come to fruition.

During his ‘governorship’, some wondered whether he had some sort of a svengali hold on his excellency.

He seemingly got a pass whenever and however he fcuked shyt up.

Je, huu ukimya tuutafsiri kivipi?

Kwa namna moja ama nyingine, nafasi moja au nyingine, atarudishwa tena serikalini? Labda atapelekwa Geita huko akawe mkuu wa wilaya au mkoa. Au labda atapewa u-naibu waziri kwenye wizara isiyo kubwa.

Mpaka sasa naona kuna tofauti kubwa sana kati ya huyu mkuu wa mkoa wa Dar wa sasa na huyu ‘Gavana’ mstaafu.

Wa zamani alikuwa ni mpenda drama. Huyu wa sasa anaonekana ni mtu wa kazi tu.

Tofauti kubwa sana. Sitoshangaa kama baadhi ya wananchi wa Dar hata wasimjue jina.
 
Ila alikua anapendwa na mkulu, sijui zile drama na uthubutu wa kuzifanya ndio zilikua zinamkosha mkulu lol
 
Yeah, him!

He never seemed to do wrong in his excellency’s eyes!

Not sure who had a Svengali hold on whom...

That was some weird shit [emoji1]
Soon

Anarudi online

Alkua busy na Uchaguzi behind the scene kijana
 
Kawa mchungaji siku hizi.
Yani pastor

Ni kwa sasa ukiniuliza Rc wa Dar anaitwa nani honestly sijui...hata hapa nnapotype sijui hata jina la mwanzo anaitwa nani
 
Yule wa kwanza hakujua majukumu au mipaka yake ya kazi. Yaani ni kama mtu aliyepewa madaraka yasiyokuwa na description. Kila maahali yeye yupo, mpaka akajiona hagusiki. Matokeo yake, mengi yaliyokuwa yanamhusu yakamshinda na akajijengea maadui lukuki.

Huyu wa sasa hivi anaelewa ni nini anapaswa kufanya na mipaka yake ipo wapi.
 
It’s all drama in this government and only a few of us understand the subtle truth that Magufuli and his gang succeed in only one thing, propaganda.
 
Huyo ndiye ana connection na wataalam wa gamboshi. lazima arudishwe kumsaidia baba.
 
Jamaa anakula fwedha... rejea hakuna mtz anayekula raha kuliko yeye... sasa hivi hana majukumu analea familia na kula raha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…