Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,812
Khaaaa kwa hiyo rais wa mioyo yetu naye inakuwaje mkuuIwe na isiwe, Lissu lazima apambanishwe na Sizonje a.k.a Uchwara ifikapo 2020. Ndo utakuwa mwisho wa dikteta kwenye anga ya siasa za Bongo.
Iwe na isiwe, Lissu lazima apambanishwe na Sizonje a.k.a Uchwara ifikapo 2020. Ndo utakuwa mwisho wa dikteta kwenye anga ya siasa za Bongo.
Yaani huyo Lissu watu mnamchukulia kama Mungu flani, ni binadamu tu naye na ana madhaifu yake kama binabamu wengine. Mind you asije kuwaSHANGAZA siku moja.I think the boom shell is for him to stay put and fight the rise of Lissu. Because that will be the rebirth of "New Chadema". Chadema of policy making rather than Chadema of grabbing headlines.
Haha, mimi sio mpenzi wa mtindo wake wa siasa. Dalili ni nyingi sasa ikitokea akachukuwa nchi anaweza kutuuza jumla jumla. Lakini hata hivyo ana mtiani mkubwa sana kama akitaka kufikia uongozi wa juu wa Chadema. Chadema ina wenyewe.Yaani huyo Lissu watu mnamchukulia kama Mungu flani, ni binadamu tu naye na ana madhaifu yake kama binabamu wengine. Mind you asije kuwaSHANGAZA siku moja.
Una uhakika by 2020 atakuwa kasharudi kutoka Belgium?
Hopeless kabisa. Kwani mimi nimesema 2020 nitafanya chochote? Hilo swali linamhusu alisema lazima Lissu agombee 2020.Na wewe huna uhakika kama utakuwa hai.