Will got that before Nick ?

Uyo mwanaume apombele kwenye suluali yake mbona kama pametuna tuna vipi!? Au macho yangu
 
Uyo mwanaume apombele kwenye suluali yake mbona kama pametuna tuna vipi!? Au macho yangu
Ndicho kilichomvuta huyo mrembo kwa jamaa, fuga kibamia uone kama utakumbatiwa hivyo....
 
​Hawa ni Mariah Carrey na Will Smith in 90's
 
Kweli dunia tunapita, nimetazama hizo picha wakati mwingine nilifikiri wadau wameweka picha za Willy Smith na baba yake kumbe ni yeye mwenyewe alivyokuwa 90's na alivyo sasa 2014....

Real shocking...life is very short
 
Angekuwa bongo angeshazeeka zaidi ya hapo
 
Angekuwa bongo angeshazeeka zaidi ya hapo
Mkuu lakini na huyu naye mbona ameenda spidi sana, miaka ya tisini si juzi kati tu, alikuwa Yanki kabisa.....nadhani kuna kitu kinasumbua mwilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…