Wilfred Lwakatare Kafiwa na Baba yake!

Wilfred Lwakatare Kafiwa na Baba yake!

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,238
Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare amefiwa na Baba yake Mzazi Mzee Elias Lwakatare, aliyekuwa Mwalimu kwenye shule mbali mbali za Bukoba kuanzia miaka ya 30. Marehemu anakisiwa kuwa na miaka zaidi ya 100. Mipango ya Mazishi inaendelea jijini Dar es salaam alikofia Marehemu, na Jumatatu mwili wa Marehemu utasafirishwa kwenda Bukoba kwa Maziko.

R.I.P Mwalimu Elia!!
 
Poleni kamanda wetu, kumbe ujaskiri haukuja hivi hivi bali alikuwepo shujaa mwingine nyuma yako.
 
Hapo lazima gaidi chemba litafanya tafrija, lina roho mbaya sana lile dubwana na litakufa kinywa wazi.
 
Alale mahali pema Mzee Elias na roho yake ipumzike kwa amani
Pole sana Lwakatare
 
Pumzika kwa Amani mwalimu Elias. Poleni sana wana ukoo wote wa Lwakatare
 
Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare amefiwa na Baba yake Mzazi Mzee Elias Lwakatare, aliyekuwa Mwalimu kwenye shule mbali mbali za Bukoba kuanzia miaka ya 30. Marehemu anakisiwa kuwa na miaka zaidi ya 100. Mipango ya Mazishi inaendelea jijini Dar es salaam alikofia Marehemu, na Jumatatu mwili wa Marehemu utasafirishwa kwenda Bukoba kwa Maziko.

R.I.P Mwalimu Elia!!

Mungu mwenye uweza wa yote Amrehemu mja wake. Pole sana Ndg Wilfred Lwakatare pamoja na familia yako kwa ujumla
 
poleni sana wana wa famiia ya mzee elias!!!
mungu awape rehema na wepesi wa kuyakabili machungu ya kumpoteza kiini cha ukoo wenu.
amen!!
 
poleni familia ya Lwakatare mungu awape nguvu kwa kipindi hiki kigumu
 
Poleni familia ya Lwakatare.

Tiba
 
Poleni wafiwa na makamanda wote ...Mungu airehemu roho ya mzee wetu.
 
Back
Top Bottom