Wilaya ya Liwale hali si shwari, Wananchi wapigana, waharibu mali mbalimbali

Mimi mkazi wa Dar es salaam nimekuja Liwale (nyumbani) kuwacheki wazazi . Nilichokikuta huku ni hatari. Kuna kata hapa mjini inaitwa Likongowele hali si shwari, mawakala wamepigwa na umma, nyumba ya diwani mteule Mussa Mkoyage imechomwa moto.

Kuna kata ya Lilombe huko wananchi mpaka wanafikia hatua ya kukatana viungo muhimu kama miguu na masikio. Kwa ufupi kata nyingi zimegubikwa na vurugu. Mkihitaji picha na video nitaweka kama patakuwa na ulazima.

Cha ajabu sioni media yoyote ikitipoti hizi vurugu. Je, mtandao kuzimwa ndio sababu?

Je, kuna wilaya au jimbo lingine Tanzania vurugu zingali zipo mpaka sasa?
Zanzíbar mjini, Nungwi na Pemba yote hakuko shwari,
 
Attachments

  • VID-20201029-WA0064.mp4
    5.3 MB
  • VID-20201030-WA0152.mp4
    4.4 MB
Mimi mkazi wa Dar es salaam nimekuja Liwale (nyumbani) kuwacheki wazazi . Nilichokikuta huku ni hatari. Kuna kata hapa mjini inaitwa Likongowele hali si shwari, mawakala wamepigwa na umma, nyumba ya diwani mteule Mussa Mkoyage imechomwa moto.

Kuna kata ya Lilombe huko wananchi mpaka wanafikia hatua ya kukatana viungo muhimu kama miguu na masikio. Kwa ufupi kata nyingi zimegubikwa na vurugu. Mkihitaji picha na video nitaweka kama patakuwa na ulazima.

Cha ajabu sioni media yoyote ikitipoti hizi vurugu. Je, mtandao kuzimwa ndio sababu?

Je, kuna wilaya au jimbo lingine Tanzania vurugu zingali zipo mpaka sasa?

Na bado. Mkoloni mweusi na jaji Kaijage mmetufikisha hapa.

Acheni watu walalamike kwa amani

Beberu kaonya IS wako mlangoni. Mtawapa nafasi kutuvuruga.

Mwanzo wa ngoma ni lele.
 
Sasa kwanini umeleta uzi huu kama huna ushahidi?

Mumiani likifungua domo tu utalijua huku linatumia VPN ya Beberu.

Hata jiwe na yule mama mweupe na kassim manara nao bila hata aibu wanatumia vpn ya beberu.

Si mtumie yenu ile ya mkoloni mweusi muone kama mitandao yote ya maana siyo giza tororo!

Shwain kabisa!

Mchxieuy!
 
Back
Top Bottom