Philipo Mwakibinga
Senior Member
- May 13, 2013
- 110
- 175
Wilaya ya chunya-mbeya hasa jimbo la lupa,nimiongoni mwa wilaya zisizo na uhakika wa maji safi na salama, jamii ya wana wa chunya inakunywa maji ambayo yanaitwa "minjingu".maji haya yamesababisha mabomba kukatika,mapipa kutoboka hali inayo wafanya wakazi wa chunya kutunza maji hayo katika majaba ya plastic
matank ya maji yamebadilika rangi.
Wakati haya yanaendelea halmashauri ya chunya haionekani, kustushwa na hali hii,mbunge wa ccm,aliye ahidi kushughulikia tatizo hili ameamua kuhama kabisa jimboni, japo hana nyumba,pale alipaswa kutembelea.
Niahibu anakaa,bungeni na kushughulikia suala la mochwali kwa muda wa miaka 8, ni ajabu