Acheni dhambi za kulazimisha mambo na kudhalilisha watu, huyo mtoto ni binadam anayeishi pia huko chato ni sehem kama walikozikwa mababu zako, wewe ni mwafrika kama Mimi, heshim ubinadam.
Acheni unafiki jamani kila kijiji kuna umasikini wa aina yake, mbona kwa watu wa chato imekuwa Nongwa? Na una uhakika gani kama huyo mtoto ni wa chato?