Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739
Kama Wliya nzima hakuna hata CDM mmoja hivi Wlifred Rwakatare anatokea wilaya gani naomba kukumbushwa.
Hivi ulitegemea CCM wawaalike CDM kweli Ta Muganyizi hivi ni nshomile kweli huwezi kuona huo ukweli dhahiri.
CUF imefunga ndoa na CCM huko ZNZ. JK Rais wa JMT amemteua Mbatia mwenyekiti wa NCCR kuwa mbunge wa kuteuliwa.
Kwa CCM vyama vya Upinzani ACTIVE vinavyonekana ni CUF, NCCR, UDP etc. CDM kwa CCM ni chama cha msimu kisichokuwa na nguvu. Tia akili kichwani nshomile.
huko si anakotoka lwakatare yule mwanasiasa, sijui jina la kwanza nani alikuwaga mbunge wa cuf au, si nilimuona juzi nyololo akiwa kwenye movement for chura?
mwambieni charity beggins at home
Tuache kulalamika, tuchukue hatua, kama wewe ni bukoba vijiji chukua jukumu la kujenga chama kwenye wilaya yako! Usisubiri watu wengine hata kama wapo! Utajicheleweshea mabadiliko!
Tuache kulalamika, tuchukue hatua, kama wewe ni bukoba vijiji chukua jukumu la kujenga chama kwenye wilaya yako! Usisubiri watu wengine hata kama wapo! Utajicheleweshea mabadiliko!
Ta Muganyizi hajalalamika lakini amesema kitu bila kumungunya maneno. Huwezi ukakuruka from nowhere ukaitisha mkutano na ukasema unajenga chama. There must be pedestral from which you can air your views and support the party. Hiki ndicho anachokililia Ta Muganyizi. Something must be put in place from which wanachama will convey the message.Short of that, there will be chaos and do not rule out human nature as there can happen people who aspiring for leadership in the near and distant future wanweza wakasema umeingilia ngome zao. Lakini kikienda kama chama hayo mambo hayatakuwepo na anayejitolea anakuwa na party strategies at heart and will implement them depending on the environment
Mke wa fake president Josephine Mushumbuzi akaweke kambi Bukoba kunusuru aibu.
Mkuu pale Bukoba siasa zimechanganyika na UDINI, nilifika pale nikaingia kwenye ofisi moja ya CUF iko opposite na Manyema Hotel, mtaa wa pili opposite na zilipo office za TRA na TTCL kwa bahati nzuri nilikuwa nimevaa kanzu ya kiislam, nikaingia ofisini kujuliana na "jamaa zangu katika imani" waliokuwa wamefurika pale ofisini. Stori zao ni kuisema Chadema tu na sio CCM, lakini pia walikuwa wakiisema Chadema katika namna ambayo si ya ubaya bali walichokuwa wakikitaka ni kuwa Chadema igeuke na kuwa chama cha kutetea madai yao. Hata wao walionyesha kuvunjika moyo na progress hafifu za CUF.Kama CDM ni active na haikukaribishwa.....basi watuoneshe ua ctive wake uko wapi. Yaani inasikitisha. Mpango na mkakati bado ni dhaifu