IsangulaKG JF-Expert Member Joined Oct 14, 2010 Posts 706 Reaction score 386 Sep 20, 2011 #21 Kichwa cha Habari hakikutakiwa kuwa 'On Chadema' ila 'Ulegevu wa utawala wa kikwete"
E ebrah JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 396 Reaction score 50 Sep 20, 2011 #22 viva chadema, nafurahi kuona moto unazidi kuwaka toka enzi hizo up to now and after uhuru wetu wa kweli wa watanganyika, kwani hawa magamba hawana tofauti na wakoloni. pia kusomeka vizuri ksama hivi kimataifa ni hatua njema.
viva chadema, nafurahi kuona moto unazidi kuwaka toka enzi hizo up to now and after uhuru wetu wa kweli wa watanganyika, kwani hawa magamba hawana tofauti na wakoloni. pia kusomeka vizuri ksama hivi kimataifa ni hatua njema.