Wiki ya utata kwa makamanda

Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
Taifa limegawanyika kabisa.
 
Ha ha mwenyekiti wa ccm hao anawapachika vyeo mabashite hamuwaonj wana wa dada zake pale hazina akina doto james wamekula hela zote za mabenki hamumuoni munahangaika na mbowe

Ana haki ya kikatiba, hiyo ndio raha ya kushinda urais, unapewa mamlaka ambayo wengine hawana na unapata kinga kwa unayoyafanya. Uraisi si mchezo mchezo wa kuishia kuwalamba viti maalum na kuomba kufanya mapenzi na Miss mvuta bangi katika msiba wa ndesa
 
Nenda peke yako bila kumshirikisha mtu mbowe atakupa siri!
 
Sitetei uovu, hapana. Kuna kuweka hoja ya matusi, kejeli, dharau and all sorts of filthy things. Hapo ndipo mtu anamua naye kuridhisha nafsi yake. Ukitoa hoja bila matusi, kejeli, dharau mtu akijibu kw matusi, huyo alaaniwe na akemewe
Mkuu nadhani wewe umebarikiwa una wazazi wote, wengine ambao wazazi wetu tunajua walituachaje, mtu akimtukana ni kama kutonesha kidonda, kma ameleta hoja kma hiyo mkuu siyo Kwa kutukania mzazi wake au inabidi kma ni kutukana umtukane huyo mwenyewe bila kugusia mzazi mkuu, itapendeza zaidi kuliko kutukana saa zingine watu ambao wako mbele za haki.
 
kuitwa kamanda ni makosa bilakupitia mbinu zajeshi hao waende wakafundishwe hatamgambo kwani kwata wanayochezeshwa hawapati pumzi kweli ukubwadawa utoto shida na gomazawatoto kweli hazikeshi wazee ludini
 
my patents passed away some 20 yrs back! Hata kama wangelikuwepo, maumivu ni yale yale ya kutukana wazazi. Mtu anafanya hivyo ili uumie, ziku yako iharibike. Watu kama akina Kipara kipya et al wanakera.
 
Pole sana mkuu may they R.I.P...nimekupata zaidi, ahsante kwa maelezo yako.
 
Mrudishieni pesa yake alonunulia chama asepe
 
Ime
Imetulia kiaina
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
Taifa limegawanyika kabisa.
Kenya wana Katiba mpya na Tume Huru lakini mbona hatukuuona huo uhuru wa tume ndo kwanza Tume Huru ilivuruga uchaguzi?
 
my patents passed away some 20 yrs back! Hata kama wangelikuwepo, maumivu ni yale yale ya kutukana wazazi. Mtu anafanya hivyo ili uumie, ziku yako iharibike. Watu kama akina Kipara kipya et al wanakera.
Nimekutuna mkuu!
 
kuitwa kamanda ni makosa bilakupitia mbinu zajeshi hao waende wakafundishwe hatamgambo kwani kwata wanayochezeshwa hawapati pumzi kweli ukubwadawa utoto shida na gomazawatoto kweli hazikeshi wazee ludini
Makamanda wa makhaki!
 
Hii tabia ya kutukana mama za watu tutaomba mods waituatilie kwa Karibu sana watoe ban! Lumbana bila matusi

Mkuu lakini mbona amemwambia tu ana tabia kama za mama yake mzazi, inawezekea alimaanisha tabia nzuri maana hajafafanua kama ni mbaya au nzuri, sijaona kama kamtukana mtu hapo. wasiwasi wangu upo kwako zaidi kuwa wewe umeelewa mleta mada ana tabia mbaya kwa hiyo ukaunganisha moja kwa moja kuwa tabia za mama zilizomaanishwa hapo ni mbaya pia.
 
Kamanda anafikiri yeye ndio wa kwanza kupigwa risasi basi ana walazimishwa watanzania wote wasifanye chochote wamfikirie yeye tuu.....
 
kuitwa kamanda ni makosa bilakupitia mbinu zajeshi hao waende wakafundishwe hatamgambo kwani kwata wanayochezeshwa hawapati pumzi kweli ukubwadawa utoto shida na gomazawatoto kweli hazikeshi wazee ludini
Bbymhnughtnj
Nenda peke yako bila kumshirikisha mtu mbowe atakupa siri!
Y bsydvwsbbuvbnujyn fn
Kenya wana Katiba mpya na Tume Huru lakini mbona hatukuuona huo uhuru wa tume ndo kwanza Tume Huru ilivuruga uchaguzi?

Shule Ndugu yangu

Pole, amekuudhi Eeenh? Ukiona hivyo ujue umemuelewa! Vijana wa siku hizi wanasema tulia dawa iingie!
 
Inanikera sana hata mimi mkuu, humu ni kama sehemu ya kuelimishana na kumchallenge mtu kwa hoja, unakuta mtu hana hoja badala yake hoja yake ni kumtukana mzazi wa mtu, wengine wazazi wao walishatoweka, tuache kukumbushana, tuheshimiane.
Ukiona mtu anatukana jua ameishiwa hoja. Aidha mtoto (mvulana) huona mama yake kuwa ni mtu muhimu sana duniani, ukishakomaa ukanza kuzitafuna K (mwanaume) hilo linakoma. Hivyo unapoona akina Retired na wenzake wanatukana kwa kutumia mama zetu ni wa kusamehe bure maana wengine bado ni wavulana
 
Kila binaadam ana mama na lazima awe na gene yake. Ndiyo maana katika DNA hata mama anahusika. Ni kosa kuuliza jibu, na kila mtu lazima awe na tabia kama za wazazi wake. Hivyo unajaribu kupotosha ukweli kuwa hakuwa anamtusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…