kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,445
Ni kweli siasa ni chuki na hasira zisizo na faida!Siasa inayofundishwa darasani na inayokua practiced huku nje vitu viwili tofauti.
Tunaambiwa vyama vina lengo la kushika dola kisha vifikie state interests ila Tz vyama vina lengo la kushika dola huku havina dira matokeo yake ndiyo mipasho kama hii, kuanzia kwa mwenyekiti wa chama mpaka mwanachama wa kawaida.
One of the hopeless guys on JF you top the list.Kuna kamanda amenifuhisha sana anataka watu wasile wala wasitembeleane eti kisa kuna kamanda yupo hospital,
kuna miili imeokotwa baharini.
Kwani kabla ya utawala huu miili ilikua haiokotwi baharini
na ule mchezo wenu wa kwenda kuchukua maiti zisizo na ndugu na kufanya mpango wa kuzitupa baharini ili serkali ionekane inaua tumewashtukia,
Kamanda hataki watu watembeleane kisa mkwe yupo mahabusu ,
kama babu seya katoka kwanini watu wasitembeleane,
kamanda anasema watu wanatekwa,
Mikutano hakuna lakini yeye amewanyima haki wafuasi wake baada ya kujitoa kwenye chaguzi
Kamanda huyu yeye ni haki yake na kauli ya chama kurusha misiba ya mbwa
na makamanda makofi pwaa pwaa pwaa
Kamanda mwingine anataka aone reli imekamilika ndio watu watembeleane
Ajue pesa za kujenga reli zitapatikana wapi nani atatoa ndio watu watembeleane,
Hapa inaonyesha makanda wamechanganyikiwa
Kamanda mkuu amekasirika kwanini hakua kwenye msafara akapata picha akiwa na magwanda magogoni safari hii si ruksa magwanda kuingia ikulu,
inaonekana ujasusi wa kamanda yerinko nyerere umefeli maana gari ya mjumbe ilikatika sterling road na kuelekea magogoni bila wao kujua
au watu hawasalimiani asubuhi na kujua ratiba au mjumbe aliwazuga kwa kujua akiwaambia watavuruga mchongo wake wa kukutana na mkulu
Makamanda inapouma ni hapa pasipojulikana watu hawa wamezungumza nini,
Ushauri makamanda watu wale walikua chama kimoja wamefanya kazi serikali moja msihofu kusalimiana na kutembeleana
Makamanda mkumbuke mjumbe ni maarufu kuliko chama chenu haitaji mbeleko isiopokua makamanda ndio wanahitaji mbeleko
Hitimisho uwanja wa taifa:Ridhiwani baba yako hajambo!
Hawajui washike lipi kila siku afadhali ya janaWatakuwa mgambo hao,hawajui mbinu za medani.
Dawa yake ni sindano tu!One of the hopeless guys on JF you top the list.
Ukitukana nitakutukana bila kuchagua tusi.Who cares about being BANNED, after all one can do away with bans by multiple IDsHii tabia ya kutukana mama za watu tutaomba mods waituatilie kwa Karibu sana watoe ban! Lumbana bila matusi
Ha ha mwenyekiti wa ccm hao anawapachika vyeo mabashite hamuwaonj wana wa dada zake pale hazina akina doto james wamekula hela zote za mabenki hamumuoni munahangaika na mbowelawama zote kwako mbowe kututolea katibu mkuu kwenye koti na kumkumbatia huyu mzee sasa anatuyumbisha na kuleta maumivu ana tofauti gani na maulidi mtulia
Shule Ndugu yanguUkitukana nitakutukana bila kuchagua tusi.Who cares about being BANNED, after all one can do away with bans by multiple IDs
Inanikera sana hata mimi mkuu, humu ni kama sehemu ya kuelimishana na kumchallenge mtu kwa hoja, unakuta mtu hana hoja badala yake hoja yake ni kumtukana mzazi wa mtu, wengine wazazi wao walishatoweka, tuache kukumbushana, tuheshimiane.Hii tabia ya kutukana mama za watu tutaomba mods waituatilie kwa Karibu sana watoe ban! Lumbana bila matusi
Tulieni rais wa mioyo yenu alikwenda ikabidhi ikulu!Kipara una hamu wew sio bure njoo .....utoshelezwe
Hujatukanwa mfano mkuu, umetoa tu maoni yako mtu anakutukania mzazi wako, ni fair kweli, bora kma umeanza kutukana mkuu Retired, lkn unaweka hoja yako tu, tayari mtu anakwambia unawaza kama matako ya baba yako, is that fair, hii tabia inabidi tuikemee mkuu.Ukitukana nitakutukana bila kuchagua tusi.Who cares about being BANNED, after all one can do away with bans by multiple IDs
pole sana mkuu kwani wewe pia ni mmoja wapo uliezungusha kiuno na kuimba mabadiliko!lawama zote kwako mbowe kututolea katibu mkuu kwenye koti na kumkumbatia huyu mzee sasa anatuyumbisha na kuleta maumivu ana tofauti gani na maulidi mtulia
Mafuriko yameleta takataka nyingi,hautaki hasira huu!Matakataka ni mengi , wewe umeyazidi humu JF, you top the list
Sitetei uovu, hapana. Kuna kuweka hoja ya matusi, kejeli, dharau and all sorts of filthy things. Hapo ndipo mtu anamua naye kuridhisha nafsi yake. Ukitoa hoja bila matusi, kejeli, dharau mtu akijibu kw matusi, huyo alaaniwe na akemeweHujatukanwa mfano mkuu, umetoa tu maoni yako mtu anakutukania mzazi wako, ni fair kweli, bora kma umeanza kutukana mkuu Retired, lkn unaweka hoja yako tu, tayari mtu anakwambia unawaza kama matako ya baba yako, is that fair, hii tabia inabidi tuikemee mkuu.