ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 973
- 665
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mtoto mchanga mwenye umri wa siku 21 bado angali na kitovu katika umri huo.
Imezoeleka kitovu huwa kinadondoka siku tatu au saba baada ya kuzaliwa mtoto,lakini kwa huyu imekuwa tofauti.
Mtoto ana afya njema kabisa,Ila hii hali inanitia wasiwasi nahitaji ushauri wenu.