happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Mar 18, 2013 #1 Njoo tusherehekee wiki ya maji
TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,649 Reaction score 1,128 Mar 18, 2013 #2 Nimecheka mpaka nimepaliwa na kikohozi,
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Mar 18, 2013 #3 TECHMAN said: Nimecheka mpaka nimepaliwa na kikohozi, Click to expand... Aisee mimi nimesikitika mnoo.
TECHMAN said: Nimecheka mpaka nimepaliwa na kikohozi, Click to expand... Aisee mimi nimesikitika mnoo.
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Mar 18, 2013 Thread starter #4 TECHMAN said: Nimecheka mpaka nimepaliwa na kikohozi, Click to expand... Pole. Kwenu maji yanatoka??( kama unaishi tz)
TECHMAN said: Nimecheka mpaka nimepaliwa na kikohozi, Click to expand... Pole. Kwenu maji yanatoka??( kama unaishi tz)
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Mar 18, 2013 Thread starter #5 Ndibalema said: Aisee mimi nimesikitika mnoo. Click to expand... Usisikitike! tuombee wenzio japo mvua inyeshe
Ndibalema said: Aisee mimi nimesikitika mnoo. Click to expand... Usisikitike! tuombee wenzio japo mvua inyeshe
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Mar 18, 2013 #6 happiness win said: Usisikitike! tuombee wenzio japo mvua inyeshe Click to expand... Sawa mkuu. Mungu baba lete neema ya mvua isiyo na madhara na hatimaye ukame uishe. Sema Amin.
happiness win said: Usisikitike! tuombee wenzio japo mvua inyeshe Click to expand... Sawa mkuu. Mungu baba lete neema ya mvua isiyo na madhara na hatimaye ukame uishe. Sema Amin.
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Mar 19, 2013 Thread starter #7 Ndibalema said: Sawa mkuu. Mungu baba lete neema ya mvua isiyo na madhara na hatimaye ukame uishe. Sema Amin. Click to expand... Amennnn
Ndibalema said: Sawa mkuu. Mungu baba lete neema ya mvua isiyo na madhara na hatimaye ukame uishe. Sema Amin. Click to expand... Amennnn
Komeo JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 2,498 Reaction score 1,172 Mar 19, 2013 #8 Nadhani ukisema njooni tusherehekee wiki ya maji kule pande za Bukoba, unakuwa hueleweki kabisaaa!