Na hapa jf Invii kafunga kile chumba cha maongezi....:A S angry:....
Ila cha kufurahisha....kulikua na sababu ya kuchelewa kurudi nyumbani....kulinda kura zetu zisichakachuliwe...
ha ha ha!Mi hili liwiki limeniuzi sana
hata infii nazo zilikuwa haba...kila unayemtafuta unakuta yuko bize na Halima Mdee. Ukija JF wapwa wote wamechakachuliwa na siasa. Ukirudi home, bimkubwa yuko bize na Slaa. Ukimtafuta matesha yuko bize na homuweki. Ukiwasha TV machaneli yote yako bize na kumtangaza Kikwete ndio mshindi........... Agrrrrrrrrrrrrrrr:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
wakina eliza woote hawapatikani kwa sasaHahahhah Baba Gift...... pole mwaya hivi hata kina eliza unawaona wachungu? au nao wako kwenye uchaguzi lol
Babu hahhahah infii wako kulinda kura na kuchakachua ili mhishiwa arudi madarakani kwani alikuwa anawatengenezea mazingiza mazuri ya infidelity.........
Hilo nalo limeniudhi sana. Michakato ya kutafuta infii ilipungua kasi bana.
hebu cheki na invii mwambie JK kashashinda aturudishie chumba chetu:hippie:bowl::bowl::bowl:
sasa mkuu tukishawalaani itakuwaje?Uchakachuaji sio?
Walaaniwe wote wanao chakachua matokea na wafe kibudu
ha ha ha!
hata mary munisi nae alikuwa analinda kura kerege
sasa mkuu tukishawalaani itakuwaje?
maanake kuna vitu vinataka ''juhudi za makusudi'' kuvikabili
HIVI KWELI MKUU JIMBO LA SEGEREA wamejiandikisha watu 150,000+ na waliopiga kura ni 50,000?inaingia akilini hiyo?
hapo mzee ukirud hme unaweza jikuta unamzibua kibao waif bila kosa
sasa mkuu utaoa MARA NGAPI?This message has been deleted by Baba Gift.
Reason
haiko mahala pake
Ewaaaaaaaaa! Sasa tuendelee na lojistiksi. Josefina ulifanikiwa kuchukua namba zake? Yule bana nna mpango wa KUOA kabisa.:smile-big::smile-big::smile-big:
sasa mkuu utaoa MARA NGAPI?
hehehehe!
lakini ile baa mpya ile haya bana!
hivi una namba ya meneja?