Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
Wandugu.......!
HABBAAARR ZEEENU BAAAANAAAAAAAAAA!
kwa kweli leo nimeonelea ni vyema kabisa nikatoa ''langu la moyoni'' maanake dah!kuna vitu havivumiliki
ushauri tafadhali!.....
NI MIMI KATIKA UTEKELEZAJI WA ''SHERIA-MAMA''
Baba Gift
The king
HABBAAARR ZEEENU BAAAANAAAAAAAAAA!
kwa kweli leo nimeonelea ni vyema kabisa nikatoa ''langu la moyoni'' maanake dah!kuna vitu havivumiliki
- nina HASIRA KALI inayotokana na kukisikia nisichokitarajia kwenye vyombo vya habari!
- nina amini kwamba TUNAONEWA na hawa ''metropolitan'' politicians!
- nina SIKITISHWA SANA na tabia ya wakazi wa dar kujiandikisha halafu KUTOPIGA KURA
- kuiona BIA chungu kama SIFONGO
- kuiona valuu inatisha kama SUMU
- kupaona BAA kama jehanamu
- kuichukia hata redio ya ''tukutuku'' langu siku hizi siwashi redio tena
ushauri tafadhali!.....
NI MIMI KATIKA UTEKELEZAJI WA ''SHERIA-MAMA''
Baba Gift
The king