Wikend imeanza mapema...

View attachment 65102

Mbona uliipindua tena...................!!!


kibweka huyo pembeni mtoto wa shule nini mbona anapiga pepsi..hapo inatakiwa anagonga valeur au savana wewe unapoga konyagi mkitoka hapo mpango mzima kugusana mbona atajuta kula viti moto vya watu kipindi hiki cha kukusanya maoni ya katiba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…