Wifi usage data

MLUGURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
3,040
Reaction score
3,971
Wadau naomba maelekezo juu ya namna ya kudelete usage data kwenye simu ili nipate nafasi zaidi.

Kwenye screen shot apo chini namaanisha izo gb 14.7
 

Attachments

  • Screenshot_20190706-153025_Settings.jpeg
    17.2 KB · Views: 36
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Imebidi nicheke.

Iyo ni Data monitor tuu. Inaonesha jinsi gani umetumia mtandao na kwa kiwango gani. Hiyo haimaanishi hizo data zimekula space kwenye simu yako.

Kama unataka kufuta vitu nende kwenye file manager. Na udiliti user files.
 
Umeiflash vipi?
 
Mkuu kwa simu za mediatek Kuna virusi wanaingia, then wanaroot simu then wanajibadili kuwa system app. Unaporeset simu system app huwa haziguswi hivyo virusi vinakuwa vile vile.

Njia rahisi ni kuflash kwa kueka rom mpya, hii itabidi upeleke kwa fundi ama Kama ni mtaalamu unaflash mwenyewe kwa computer.

Njia ngumu ni kukisaka hicho kirusi kwenye system app mwenyewe ila inatake time inabidi uwe Hata na siku Nzima free, pia utahitaji root access kufuta system app.

Njia nyengine ukiwa na box unaweza kukitoa bila kuflash.
 
Mkuu hio virus nimeishaijua ilipo. Mbona ya kuiondoa ndio imefeli

Hio box inapatikanaje?

Sina pc hapa ningeweza kujaribu kukiondoa.

Halafu ku root simu pia kama si mtaalam haiwez kuleta madhara?View attachment 1151433
Huyo sio kirusi mama Kama umemuona kirahisi hivyo hivyo ni vitoto tu ambavyo vinazalishwa.

Kama huna PC peleka kwa fundi ikaflashiwe Kama 5000 tu.na box pia kwa mafundi yanapatikana huko
 
Ok let's start hamna such thing as an Android virus na kama hiyo vpn ina shida inaweza kuwa ni ADWARE hata R.A.T ni ngumu cku hizi so k ukitaka kujua kama ni vpn ndio inaleta shida angalia permission kama inapata access ya mobile data.
Na uchunguze app zako zote zenye access to mobile data na because umesema imetokea pia baada ya kuflash cm angalia app gan hua umeziredownload kuna moja ina leta shida tu.

Also pia angalia kuwa kama ume disable auto wifi kwenye advanced option au background data kwenye data usage settings.
 
Duuhu? Nimeshangaa neno "WiFi usage data" maana nimelisoma na nimelitafakari kwa Kiswahili, ila kumbe siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…