Wakuu nahitaji wifi router nzuri,yenye gharama nafuu ambayo inaingia moderm ya mitandao mbalimbali.shukrani natanguliza
Nahitaji hiyo router ila nataka kujua speed yake na unapatikana wapi??View attachment 212891View attachment 212892
Pata hii Router Msimu huu wa Sikukuu kwa Bei Poa
Price: 65,000/-
Call: 0715240140
Hiyo ni ile unaweza ukaicharge unatembea nayo nlikuwa nahitaji pia inayo ingia line zote
Mkwawa shukrani hiyo naweza nika move nayo popote Na device nazoweza kushare nazo ningap Na wana vifurush maalum kwa hizo wifi-airtel wanauza modem ya wifi 40,000
-nunua power bank ya maana kwa 50,000
-chomeka modem yako kwenye powerbank
magic!!! una router inakaa siku nzima na charge, na hujalipa kiasi kikubwa. sina uhakika kama modem za wifi za airtel zinachakachulika
yap kokote unaenda nayo na vifurushi ni vya kawaida tu vya kila siku, sina uhakika device ngapi utashare ila hazishuki 5 itakuwa around 5 hadi 10.Mkwawa shukrani hiyo naweza nika move nayo popote Na device nazoweza kushare nazo ningap Na wana vifurush maalum kwa hizo wifi
Kuna hii hapaWakuu nahitaji wifi router nzuri,yenye gharama nafuu ambayo inaingia moderm ya mitandao mbalimbali.shukrani natanguliza
Nataka kuanlock huawei e5573s wifi device ni ya smart, ila mi nataka nitumie line zote. unaeza kua na softiware za ku-unlock????-airtel wanauza modem ya wifi 40,000
-nunua power bank ya maana kwa 50,000
-chomeka modem yako kwenye powerbank
magic!!! una router inakaa siku nzima na charge, na hujalipa kiasi kikubwa. sina uhakika kama modem za wifi za airtel zinachakachulika
HAPANA sina cheki dc unlocker kama wanaisuport jamaa ndio wanatoa lock vifaa vingi sema ni ya kulipiaNataka kuanlock huawei e5573s wifi device ni ya smart, ila mi nataka nitumie line zote. unaeza kua na softiware za ku-unlock????
Thanx manHAPANA sina cheki dc unlocker kama wanaisuport jamaa ndio wanatoa lock vifaa vingi sema ni ya kulipia
bei ya nini?Ni bei gani chief Mkwawa