Habar ndo hiyo...HAKUNA JIPYA HAPO..ILa kwa muoga. Ukiishi na mwanamke kwa akili aisee, mbona dunia ni peponi bob! Maana utamtumia vema....hutajutia uamuzi wako wa kuoa, ni rrraha mustarehe, ni kichocheo cha maendeleo yoyote na ni chachu ya furraha kuu na ya kusta ajabisha.
Mwanamke ndiye cheko la ulimwengu, ukimtumia vema. Ameumbwa kwa ajili ya mwanaume....unachopaswa wew kidume ni kujua nin cha kufanya ili kujipatia furrraha na maendeleo mengne kupitia mwanamke...
USIPOMTUMIA VEMA....UTALIA NA KUSAGA MENO....Huo msemo wa mtoa mada uko sahihi kabisa.