Wife material

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Nasikia type hizi ndio za wife materials......

 

Attachments

  • 225311_3839157116994_1381206599_n.jpg
    16.3 KB · Views: 1,736
kudadadadadadadaaaaaaeeeeeki, usiombe ukawa na bifu la maneno na lijimama la type hili.
 
Kinyago cha mpapure! Hata ukichome mkaa hakiungui...balaa
 
nilivyoukimbilia huu uzi nkajua my brother kapata jiko wewe asigwa vipi bana??
 
Last edited by a moderator:
Hah ah ha si ndio jiko lelnyewe hilo banaa...au walionaje??
Hebu cheki jicho hilo, lipsi hizo yani full raha.....

kaaaaaa..... huyu ukimwona mchana lazima uzimie labda appointment zenu mzifanye usiku na TANESCO wawe wamefanya mambo lolz
 
kaaaaaa..... huyu ukimwona mchana lazima uzimie labda appointment zenu mzifanye usiku na TANESCO wawe wamefanya mambo lolz
Mtoto wa kipare huyo mkali kitaa kizima wanamtamani...halafu si unajua mjini shepu...sura kijijini.....
 
Pasua kichwa huyo!usipomnunulia anachotaka lazima akaweke chupi pembeni akipate
 
Huyo akianza kukuporomoshea mitusi lazima upoteze fahamu. Mbona kakaa kimitusi mitusi? Duuuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…