WIFA application inayokuwezesha kudownload status na video za Instagram

WIFA application inayokuwezesha kudownload status na video za Instagram

Emmanuel TM

Member
Joined
Sep 25, 2017
Posts
67
Reaction score
88
Ni support yenu ya hali na mali ndiyo inayohitajika kwa sasa wadau wa jukwaa la JF.

Maelezo:
1. Nenda kwenye google play store kisha andika WIFA kwa herufi kubwa

2. Bonyeza install ianze kuingia kwenye simu yako (ina ukubwa wa 5Mbs) haiwezi kumaliza data zako

3. Ifungue kisha utaona option tatu ya kwanza ni Whatsapp 2 ni Instagram na mwisho ni Facebook

4. Kudownload vitu Instagram unaenda kwenye post unayoitaka Instagram kisha unabonyeza vidoti vitatu juu kulia kwenye post kisha chagua copy baada ya hapo nenda kwenye app ya WIFA kisha past then chagua kama ni video ama picha kisha download

5. Ni support yenu inahitajika kuitumia app hii

IMG_2049.JPG
 
Elezea utendaji wake wa kazi pia ili kutuunge...

Hii kazi yake ni kudownload picha za status bila kumwambia muwekaji nitumie yani kama video n haraka sana na post zote za instagram pamoja na fb ni vyoTe yan picha na video
 
Back
Top Bottom