Joshua robin
Member
- Aug 27, 2013
- 36
- 6
Habari zenu wakuu!!!!!! naomba msaad, simu yang niki share INTERNET toka kwenye laptop(window 7) inasoma lakin kila nikifungua internet kwenye simu, ina andika DNS FAILED, kwana tatizo ni nini? au nitumie njia ipi?