Why? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jaguar, Apr 12, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Women hit men but men can't hit back?
   
 2. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  sentensi yako ni tata sana;

  Naomba nigongee thanks, (Hope it will be your first hit)
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha jamaa mchoyo kweli yeye ana 44 yeye hata moja hajatoa....................

  Namimi ningongee basi kwa kuwa wapili kucomment kwenye thread yako
   
 4. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mimi sijaelewa....mhhh...inaonekana ninahitaji mwl wa kingereza...mhhh!!!

  Dena, waweza kunitafsria dear?
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mwanaume wa ukweli anapigana na mtu anaelingana nae.Kumpiga mwanamke ni uonevu!
   
 6. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Because women are delicate creatures ..

  na mie nipe senks basi nimekujibu
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Yaani leo tumewezwa kweli thread ni kizungu tupu kuna moja huko umeiona hata title imenishinda. Sijaelewa kabisa
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Hizo Hit ndo tatizo kunyumbulisha kwenye maana uliyomaanisha maana ina maana lukuki!!Kwahiyo moja niliyoifikiria nikweli kutokana na mazingira yake!!
   
 9. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  huyu mwanaume mwenzangu sasa kama yeye hawezi hata kutoa thanks, kweli ataweza ku-hit back..mwanamke anapigwa na upande wa kitenge mkuu (any way ni misemo ya sisi vijana wa zamani)
   
 10. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mhhh...tuna kazi kweli leo...!
   
 11. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ukiolewa utaelewa tu...ngoja Jaguarpaw aje afafanue
   
 12. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mhhh...mpendwa, yaani nikiolewa ndo ntaweza kuelewa kiiinglish....mhhhh haya bana!!!!
   
 13. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  yah...ni kiinglishi cha mapenzi.... una-hit, na mwanaume ana-hit back (ingawa jamaa anasema why we can't hit back)
   
 14. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kutokana na maelezo yako kwenye hii comment, ndo napata mwanga kidogo alikuwa anasema nin.......

   
 15. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hiyo ni tafsiri yangu, sijui kama yeye alikuwa anamaanisha hivyo! lakini huo ndo ukweli, karibu sana kwenye ndoa,
   
 16. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kama walivyojibu wengine,namaanisha ngumi/kibao/teke and whatever,mtendaji akiwa mwanamke dhidi ya mwanaume.
   
 17. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  shukrani kwa ufafanuzi!!
  ubarikiwe kwa ku-hit your first 'Thanks' kwenye ka-post kangu
   
Loading...