Why we fought Rwanda in Congo

Wanyaru ndio ni wapole lkn kabila la slim ni janga

Slim huwa na tabia ya kupima msimamo wa maraisi wenzeka na ukimchekea anakuzoea vibaya

Sent using my iPhone using jamiiforum app

sasa kwenye ukabila huko mimi sipo
watusi niliokutana nao ni watu fresh sana, hawana noma na mtu

tatizo ni huyo Mr slim, nakerwa tu na war mongering mentality aliyokuwa nayo!, yaani bila aibu alitishia kumhit raisi wetu kipenzi JK, angesubutu tungeenda kumchomoa ikulu ya Rwanda na kumpa discipline kubwa sana
 

Mwenye ukabila Hana nafasi Rwanda labda msituni huko Congo, kama hutaki kubadirika ukawa mtu mwema utakufa huko porini maiti yako iliwe na umbwa mwitu. Nyie ni wakupigana na maimai na jeshi la Congo sio RDF!vita yenu ni ya ku chimba viazi na mhogo mashambani tu!
 
Acha tungoje the next prezida wa hapo then ndio tutapima kama kuna ukabila au hakuna
Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
PK nilimuona ni mpuuzi saana kipindi kile ameamua kuharibu uhusiano wake na south Africa kisa kutaka aonekane yuko level moja na mossad
Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Wanyaru ndio ni wapole lkn kabila la slim ni janga

Slim huwa na tabia ya kupima msimamo wa maraisi wenzeka na ukimchekea anakuzoea vibaya

Sent using my iPhone using jamiiforum app


Ukute maskin ukazaliwa huko porini ila ukashikwa ki Sychologia badala ya kwenda kujenga nchi yako na kujijenga kiuchumi, wenzako walishamaliza chuo kikuu wanapambana na maisha yao wewe unahangaika na ideology ya ukabila. We mmeshindwa vita ya myaka hiyooo! !Enzi za Analogy Sasa mtaweza vita ya Digital? ???
 
Kijeshi fdrl sio tishio kwa slim ila kisiasa ni tisho

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Ni kweli ,na nadhani kwa sasa wamejipanga zaidi kisiasa maana kijeshi sidhani km wataweza

Fdrl wao kwa sasa wanatafuta zaidi ungwaji mkono kisiasa ,hata Mzee wa Msoga ule ushauri wake ulikua ktk maana hy ,ndio maana PK alipanic

MTC | 101| [emoji769]
 
PK maadui zake hasa wa ndani wanamvumilia kwa kuwa yupo anaelekea kumaliza muda wake

Pk atumie tu ushauri wa JK maana hakuna namna

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Tooo tiresome, you must learn to summarise jurgonised epistles. you get ma drift?
 
FDLR naona kwisha maneno mzee baba,juzi wamemuua kamanda mkuu wao na waliwakamata ma top wengine wa inteligensia wa fdlr wako Mahakamani huko Kigali.
 
FDLR naona kwisha maneno mzee baba,juzi wamemuua kamanda mkuu wao na waliwakamata ma top wengine wa inteligensia wa fdlr wako Mahakamani huko Kigali.
For sure fdlr tumeshindwa this game kayumba na yeye sijui kapotelea wap
 
For sure fdlr tumeshindwa this game kayumba na yeye sijui kapotelea wap
Kayumba haeleweki yule,shida hataki kwenda field huko Congo amekalia kula raha kule kwa Mandela.
 
Kayumba haeleweki yule,shida hataki kwenda field huko Congo amekalia kula raha kule kwa Mandela.
Nahisi kayumba ni inside job ya PK maana sio kwa kutulia huko sankara nae kesi yake kimya mpaka leo
 
Nahisi kayumba ni inside job ya PK maana sio kwa kutulia huko sankara nae kesi yake kimya mpaka leo
Hamna yule jamaa kwny medani sidhani kama yuko fit kiasi hicho hata majuzi wakina Gen Kabarebe wamesema wkt wanapigana kuivamia Rwanda wale FAR kuna kipindi walitoa kichapo kikali mpk RPF wakapotezana then Kayumba akawa anawaambia wenzake hivi kwanini wasirudi Uganda tu waendelee na vyeo vyao tu maana vita ni kali hii,hahah.

Sankara&wale top wengine waliokamatiwa Congo naona ni mwendo wa mahakamani tu.

Jamaa wana sponsor mwenye mpunga kusimamia show shida morale/ambition ya kupigana hawana.
 
Sponsor wao ni nan France au?

Nadhani huo uwoga wa kayumba na kujihisi dhaifu kwenye medani dhidi ya majeneral wengine ndio kinamuogopesha
 
FDLR naona kwisha maneno mzee baba,juzi wamemuua kamanda mkuu wao na waliwakamata ma top wengine wa inteligensia wa fdlr wako Mahakamani huko Kigali.
Hahahaha, ile habari ya kiongozi wao nimeisoma Mkuu
 
Tell them wapuuzi hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…