Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,387
Ndio ni kaka zangu pia ni jeshi halali la wananchi wa Rwanda walikula kiapo cha kuirinda rwandaW
Wako moyoni mwako kwasababu ni kaka zako na sio myoyoni mwa wanyarwanda .
Hao kazi yao ni kula ngedere mstuni huko na kuiba kwenye mashaba ya wa congoman tu.
Muda tayari ila fdrl ndio wanaotuangusha hawa fdrl ndio wapo moyoni kwa wanyarwanda (kumbuka hawa ni jeshi halali kabisa) trust hawa wakipata kiongozi mzuri PK hana chake
RNC sina imani nao kwanza ni kundi la mafisadi walioshindwa kuendana na kasi ya PK
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hahah yule hawezi Omba msamaha hata kwa dawa.Hahahaha ,hilo siwezi km lawezekana
MTC | 101| [emoji769]
Unawapa muda gani fdlr watakua wamemaliza hio kazi mkuu?Mie nakuelewa vzr sana ,tena sana ,kuhusu muda nadhani ndio unakaribia ila bado kdg
Mie mtanikuta kanombe na vijana wangu
MTC | 101| [emoji769]
Mie nakuelewa vzr sana ,tena sana ,kuhusu muda nadhani ndio unakaribia ila bado kdg
Mie mtanikuta kanombe na vijana wangu
MTC | 101| [emoji769]
Hata Mimi naona hivyo,mtusi kiasili tu ni jeuri ,so PK kuomba msamaha ,hkn kiko kitu
Watu wengi wanawaona fdrl kama wachovu lkn mm naamini slim ni mwepesi zaidi na awe mpole tu kwa m7 maana huyo ndio ngao yake
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Sasa RPF waliwezaje kuwachapa hao na kuikamata Kigali kiurahisi?
Hahah wale ni Zero displine labda waendelee na juhudi za kufanya biz za kuuza mkaa kule porini na kubaka wakina mama wa ki congo lkn kwny medani hakuna kitu pale.Hahahaha, muda bado ila unasogea ,juhudi zao tu huko ma porini
MTC | 101| [emoji769]
Hahah M7 akisubiri kuombwa msamaha atasubiri mpk anafika umri wa Mugabe hajaombwa wala nini.Hata Mimi naona hivyo,mtusi kiasili tu ni jeuri ,so PK kuomba msamaha ,hkn kiko kitu
MTC | 101| [emoji769]
RDF (fdrl) walipoteana baada ya kifo cha juvenile
Pia PK aliwazidi akili tokea mwanzo maana kulikuwa na RPF (special force) zaidi ya 1500 chigale
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hahahaha, na mkaa wana uchoma haswa ,Hahah wale ni Zero displine labda waendelee na juhudi za kufanya biz za kuuza mkaa kule porini na kubaka wakina mama wa ki congo lkn kwny medani hakuna kitu pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mbaya kabisaa na kuuza mbao,si mchezo.Hahahaha, na mkaa wana uchoma haswa ,
MTC | 101| [emoji769]
Ndio ni kaka zangu pia ni jeshi halali la wananchi wa Rwanda walikula kiapo cha kuirinda rwanda
RNC wakianzisha sisi tunamaliza kituo cha kwanza Rubavu then tumba alafu chigale tunaingia bila mapambano maana slim atakuwa ameshakimbia
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Slim ndio hataki turudi kama chama cha siasa why?Kwahiyo we unamuogopa slim wako huyo tu! Kwan yeye ndio anapigana? Au utapigana na jeshi?roho zenu chafu! Mikono yenu ina damu! Mnawaza kuua tu!kaue wa Congo man huko ila Rwanda ni moto wakuotea mbali! Alfu ukute unajiita raia wa Tanzania! Au uko mistuni huko Congo? Kama huna hatia si urudi nchini mwako?na kama ulihusika njoo ukatumikie kifungo chako ukimaliza uendelee na maisha kama wengine.
Vita huwa ni akili kwanza, Kama Kagame aliwazidi akili basi akili zilezile bado anazo.RDF (fdrl) walipoteana baada ya kifo cha juvenile
Pia PK aliwazidi akili tokea mwanzo maana kulikuwa na RPF (special force) zaidi ya 1500 chigale
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Pia ndani ya fdrl nidhamu na motisha ilishuka pakatokea makundi makundiNa hapa ndipo walipokua wamebugi step ,kuruhusu wale wajeda RPF kuingia Kigali mapema ,ingawa ilikua ni sehemu ya makubaliano
MTC | 101| [emoji769]
Pia ndani ya fdrl nidhamu na motisha ilishuka pakatokea makundi makundi
Ila trust me PK bila m7 mwepesi saaana maana najua hata upanga hawamtaki
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Wanyaru ndio ni wapole lkn kabila la slim ni jangaJK aliendesha operesheni Kimbunga na kumuonyesha Kidogo Kagame kuwa tunaweza kuwa mabandidu kwelikweli tukiamua. Sikusikia akilalamika kuwa raia wake wananyanyswa TZ kama anavyomshutumu Museveni leo kuwa Wanyarwanda wanaonewa Uganda.
Wanyarwanda ni watu wazuri sana, nawapenda sana tena ni watu wakarimu sana, ila Mr Slim tatizo lake anapenda sana fujo, ubabe na kunyenyekewa