Why we are Dis-empower men by Empower Women.

JOHN MADIBA

JF-Expert Member
Jan 30, 2011
251
155
Ni jambo la kushangaza na kusikitisha kwa watanzani kumpa mtu cheo ambacho akimudu na kusababisha malumbano yasiyo na tija ndani ya chombo cha kutunga sheria. Huyu mwanamke anauwezo wakuliongoza bung. kitendo kilichofanya na chama cha mafisadi cha kusema mwanamke anaweza ni kudharau haki za wanaume ''Standard and speed'' Mhe Sitta alikua anauzowefu na umaridadi wakuliongoza bunge bila kupendelea mtu wala chama cha siasa. Lakini huyu mwanamke ametuletea mtindo wa mipasho bungeni kila saa malumbano...... why why we dis-empower men???
 
Kiingereza chako kwenye heading nimeshindwa kukielewa. Ngoja nimtafute mwalimu wangu wa kiingereza aliyenifundisha std 3.
 
Back
Top Bottom