Why UKAWA will loose the 2015 Election


Tatizo mnajiingiza ktk mijadala kuhusu masuala msiyokuwa na uelewa nayo vyakutosha na matokeo ndio haya ya kukimbia hoja kwa kuleta wrong conclusions zako kuhusu mimi binafsi.

Mlileta hoja ya kumlinganisha Zitto na Ruto eti ni kingmakers, nikawapinga kwamba siasa za Kenya zipo tofauti kabisa kabisa na za Tanzania. Nikaongeza kwamba labda Zitto atumie turufu ya kura za Waislamu,Mbona Rais mpya wa Nigeria amebebwa na kura za Waislamu wa Kaskazini?Sasa hapo udini wangu uko wapi?Mbona wachambuzi wa Kimarekani walikuwa wanaeleza dhahiri kwamba Wamarekani weusi ni wapiga kura tegemeo wa Rais Barack Obama kama ambavyo wanawazungumzia wapiga kura wanawake kwa upande wa Hillary Clinton? Kwa mantiki hiyo nao ni wabaguzi.It didn't cross my mind that you could have such a poor reasoning man!
 
Uchaguzi wa mwaka huu kura yeyote ile ni muhimu sana hata kama ni moja.Hata kama ACT itapata kura laki tatu kura hizo ni muhimu sana kwa ukawa.Siasa za mkoa wa kigoma kwa kiasi kikubwa kwa mbunge yeyote aliepita hasa wa NCCR Mageuzi kwa namna moja au nyingine alisaaidiwa na Zitto.Na hasa wabunge wa NCCR wanawakati mgumu sana kama watagombea kupiria UKAWA.Wakae wakijua watakumbana na nguvu ya ACT kupitia zitto pia nguvu ya ccm.Jambo la msingi kwa Ukawa nikuangalia hatima ya wagombea wake wa ubunge kutoka mkoa wa kigoma kabla ya suala la uraisi.Mimi naamini kabisa Wagombea ubunge wa NCCR Wa mkoa wa Kigoma ndio wanawakati mgumu sana kuliko hata 2010.
 
acha ulevi; hakuna sheria duniani inayoweza kumkataza mtu kifikiri na kuandika mitazamo(hesabu zake); ninapatikana muda wowote ule kusimamia nilichoandika
Wewe ndio mbulula kweli wewe, hujui hata kinachoendelea kwenye nchi yako. Umelishwa kasa na Kiongozi wa Chama.
Endelea kupigia debe kenge wenzako.
 
Itseems you are not updated about UKAWA undercurrents;neither are you a political analyst but a sort of political fanatic to eitherCCM or ACT if not an agent provoctua executing specific assignment of UWT.
 

The political anthropology of Waha ethnic is clearly known; it has nothing to do with Zitto neither CCM. NCCR MPs may lose elections because of regular changing dynamics of Waha ethnic political anthropology. Waha will always trust nobody and are never trustable. Please consider this factor in your analysis.
 

Kama sikosei Dr slaa alianza kuingia bungeni mwaka 1995 hakua wa moto hadi kwenye bunge la 9, 2005-2010 alipo ungana na zzk so huwezi kuignore mchngo wa zitto kwenye umaarufu wa Dr slaa wala chadema yenyewe.
 

Gemu ya Rutto na Uhuru ni gemu ya makabila;hapa kwetu hayo hayapo hapa ni shoo kati ya walionacho na wasionacho(hasa vijana- chungulia chaguzi za seriakali za mitaa) na sana sana uchaguzi unaweza ukachukua sura ya kidini na hapo zzk atakuwa garasa tupu. Huyo zzk ndio anaishia hivyo zama zake ni zingine kabisa ingefaa aingie gizani kwa muda aje aibuke kivingine akiwa amejirekebisha na kuacha kuendekeza njaa. Ni mwanasiasa bora sana ila njaa itamuuwa
 

Pole! naona ushasnza kuandika tanzia za kisiasa. Ushauri wangu wa bure weka akiba ya maneno ni swala la mda tu.
 
Am back in this just to see what they predicted some times back.
 

Are you unable to differentiate LOOSE from LOSE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…