stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
Kwa upande wangu...
1. Takribani wapiga kura milioni 1 wa mwaka 2010 hawatapiga kura mwaka huu
2. Takribani wapiga kura milioni 15 watapiga kura mwaka huu, milioni 8 wakiwa "wapya"..
3. Takribani wapiga kura milioni 1 waliopigia CCM mwaka 2010 hawataipigia tena mwaka huu (hii itashuhudiwa zaidi Arusha, Manyara, Mtwara, Lindi, Songea, Morogoro, Singida na Tabora)
4. Takribani wapiga kura laki 2 walioipigia CDM kura mwaka 2010 hawataipigia mwaka huu (Kigoma, Rukwa, Katavi)
5. ACT haitaweza kupata zaidi ya kura laki 2 kwenye uraisi kwa sababu haitakuwa na mgombea mwenye nguvu, na hata yenyewe haitakuwa na nguvu za kufanya kampeni
Halafu
1. Asilimia 50 ya wapiga kura hadi sasa wameshaamua chama watakachopigia kura bila kujali mgombea ni nani
2. Asilimia 25 ya wapiga kura watapiga kura kwa kuangalia mgombea ni nani
3. Kati ya hao asilimia 25, asilimia 10 ni watiifu wa Lowassa, kama hatapitishwa, asilimia 8 kati yao watapigia vyama vingine kwa hasira
4. Asilimia 25 ya wapiga kura wataamua kutokana na upepo na ushawishi wa kampeni
5. CCM kwa kutumia tume ya uchaguzi na dola, watalazimisha asilimia 5 ya kura kwao...
Kazi bado ni ngumu...
kuna sheria ya matumizi ya statistics imepitishwa juzi.........matumizi ya data zisizo rasmi ni makosa ya jinai(lazima ziwe zimepitishwa na tbs). Ukipatikana na hatia utakwenda segerea kwa 2 years.
Acha ndoto za mchana.
Please make your NOT poor analysis: POLITICS IS A GAME: To win it you have to have a strategy, CCM has a strategy year after year thats why they are winning,,not because they are popular or people like them: I gave you three reasons why UKAWA watashindwa,,not having Zitto on board is one of them,,zipo nyingi tu sababu:
Nice analysis,nakubaliana na wewe kuhusu mtazamo wa watanzania wengi kwa sasa,wanaangalia sana mgombea gani kuliko chama hii ni tofauti na 2010.Kwa mantiki hii kura laki 2 kama ulizoandika hapo za ACT zinaweza kuwa zaid (mayb even million) japo sina data za population za kigoma na tabora bt Zito popularity inaweza kuchange upepo wa upinzani na kuongeza kula za ACT.
Ni kweli UKAWA uliundwa kuitetea katiba ya wananchi lakini pia wamesaini makubaliano ya kushirikiana kwenye uchaguzi. Hata vyama vya ODM na NARC vya Kenya vilianza na miungano iliyotokana na kupinga au kuunga mkono katiba pendekezwa wakati wa mchakato WA katiba ya Kenya.Baadaye walivigeuza kuwa vyama vya siasa na NARC walishinda uchaguzi mwaka 2007 kupitia Mwai Kibaki na ODM ya Raila ikashika nafasi ya pili.Nielimishe niondoe ujinga wangu ndugu: UKAWA ni nini? Kwanini iliundwa?
I have doubts with point number 2 and 3.
Its impossible to challenge Mbowe at Chadema, nobody will dare to do it,,not Lissu not Mnyika. They have seen and learnt what happens when you do it: Lets be honest there:Chadema is Mbowe and Mbowe is Chadema,period:
Popularity of Chadema in Kigoma has been after their people.( Kaborou and Zitto). You can see already why ACT is gaining popularity there,,sababu they support their own.
Follow closely political history of Ruto and that of Zitto, similarities are clearly there🙁 Political Confidence)
Ni kweli.. lakini sioni ACT wakija na mgombea mwenye nguvu. Kama Zitto angekuwa na vigezo kiumri akagombea ningetarajia zaidi ya kura milioni 1 kwake. Unless mtu kama Lowassa aende huko, lakini sioni wakiwa na mgombea mwenye ushawishi.
Ndugu Tindo,
By elections sio sawa na Main election: Kwenye chaguzi ndongondogo, Chama kinapata muda na nafasi ya kutosha kumchagua mgombea anayefaa: Kwenye uchaguzi mkuu,,Chama kinahitaji kujichanua nchi nzima kupata wagombea wanaostahili; hivyo basi siwezi kutumia chaguzi ndogo kama sababu ya kufanya uchambuzi wangu:
Ukawa watashindwa kwa sababu hizi:
- zitto
-kutokupata wapiga kura wapya🙁new voters)
-Tamaa za viongozi wa Ukawa
UKAWA hawatashindwa sababu ya CCM:
Hii inamaanisha moja kwa moja kuwa kura nyingi zitaenda kwa ccm kwenye presidential post coz sidhani kama watu wa ACT wataweza kuwapa kura upinzani(hasa chadema) even though kwenye ubunge ACT itapigiwa kura kwenye maeneo yao.Kwa ujumla bado ni mtihani mzito kwa ukawa kupiga political calculation na cost-benefit analysis za Zito
Nielimishe niondoe ujinga wangu ndugu: UKAWA ni nini? Kwanini iliundwa?
Kwa upande wangu...
1. Takribani wapiga kura milioni 1 wa mwaka 2010 hawatapiga kura mwaka huu
2. Takribani wapiga kura milioni 15 watapiga kura mwaka huu, milioni 8 wakiwa "wapya"..
3. Takribani wapiga kura milioni 1 waliopigia CCM mwaka 2010 hawataipigia tena mwaka huu (hii itashuhudiwa zaidi Arusha, Manyara, Mtwara, Lindi, Songea, Morogoro, Singida na Tabora)
4. Takribani wapiga kura laki 2 walioipigia CDM kura mwaka 2010 hawataipigia mwaka huu (Kigoma, Rukwa, Katavi)
5. ACT haitaweza kupata zaidi ya kura laki 2 kwenye uraisi kwa sababu haitakuwa na mgombea mwenye nguvu, na hata yenyewe haitakuwa na nguvu za kufanya kampeni
Halafu
1. Asilimia 50 ya wapiga kura hadi sasa wameshaamua chama watakachopigia kura bila kujali mgombea ni nani
2. Asilimia 25 ya wapiga kura watapiga kura kwa kuangalia mgombea ni nani
3. Kati ya hao asilimia 25, asilimia 10 ni watiifu wa Lowassa, kama hatapitishwa, asilimia 8 kati yao watapigia vyama vingine kwa hasira
4. Asilimia 25 ya wapiga kura wataamua kutokana na upepo na ushawishi wa kampeni
5. CCM kwa kutumia tume ya uchaguzi na dola, watalazimisha asilimia 5 ya kura kwao...
Kazi bado ni ngumu...
Bw Simple Mimi nakuchukulia kama mwanaharakati kwa mtizamo chanya. Yaani umetoa huu mchango ili kuuamsha ukawa ujipange ilhali bado asubuhi. Fursa iliyopo kwa ukawa ni kutumia mtifuano na tofauti zinazojitokeza ndani ya chama tawala katika kumtafuta mgombea wao. Vyovyote vile, fursa kwa ukawa ni kubwa kwani mgombea wa safari hii hatakuwa na mvuto sawa na wa JK mwaka 2005. Kinyume na kuitumia nafasi hii vizuri, tusahau ukawa kuchukua dola mpaka vipindi viwili vipite tena.