Why they want Kikwete out?

khaaaa mwacheni baba wa watu jamani..

Chezo, ni vigumu kumwacha huyo "baba wa watu" ikiwa anakuona wewe ni baba wa kindege (si unakumbuka alikufananisha na ndege kigong'ota, sio wewe tu bali wafanyakazi)

Utamwacheje mtu ambaye ni tatizo kwa babu zako, wazazi wako, wewe, watoto wako na kizazi cha watanzania watakaokuja? Utamwacheje mtu ambaye jamii haimtaki? Kujaribu kama ninalosema ni kweli hebu msifu Kikwete ndani ya daladala au basi halafu uone mvua ya maneno utakayopata.
 
Back
Top Bottom