Unajua mhandisi anaweza kuwa mhasibu, mwanasheria, mwandishi wa habari, mkuu wa mkoa, refarii, jenerali wa jeshi, lakini hao wote hawawezi kuwa wahandisi, labda wapate kibali toka kwa Mungu! Unafanya mchezo na makalkulesheni?
Hapa kazini niliwahi kufanya kazi za human resources baada ya training ya masaa 6! Afu nikawa boadi kweli manake hazikuwa zikinipa chalenji! Ni ripitisheni tu! Unafanya kazi hiyohiyoooooo mpaka mwaka unakatika!kazi unayoifanya bht INJINIA anakuwa trained in one hour,ANAKUFUKUZISHA KAZI!kazi yangu mimi wewe HATA YESU AKIRUDI HAPA,HUTATHUBUTU.....
humo humo!ENGINEERS ARE NATURALLY GENIUSInjia are creators next to God!
Osama was civil engineer
at a glance
Herbert Hoover-USA 31st president was Mining/civil engineer
mi hizo kazi sitaweza,bora nikae baa nakula bia tu!.......Hapa kazini niliwahi kufanya kazi za human resources baada ya training ya masaa 6! Afu nikawa boadi kweli manake hazikuwa zikinipa chalenji! Ni ripitisheni tu! Unafanya kazi hiyohiyoooooo mpaka mwaka unakatika!
Refer on my signature (down here) for the conclusion on your above observation!😀
unfortunately huwezi kuijustfy hiyo signature!lakini UTAELEWA TU!sababuRefer on my signature (down here) for the conclusion on your above observation!😀
Au unafanya kazi ukiwa baa!mi hizo kazi sitaweza,bora nikae baa nakula bia tu!.......
Mtengenezaji yeyote anajua pia udhaifu wa alichotengeneza, so inakuwa rahisi kwake kuharibu. Ningemwaga data hapa ila naogopa kutembelewa!why so many terrorist have engineering degrees?
wala usimwage dataaz,WATAELEWA TUMtengenezaji yeyote anajua pia udhaifu wa alichotengeneza, so inakuwa rahisi kwake kuharibu. Ningemwaga data hapa ila naogopa kutembelewa!
Mtengenezaji yeyote anajua pia udhaifu wa alichotengeneza, so inakuwa rahisi kwake kuharibu. Ningemwaga data hapa ila naogopa kutembelewa!
kazi unayoifanya bahati INJINIA anakuwa trained in one hour,ANAKUFUKUZISHA KAZI!kazi yangu mimi wewe HATA YESU AKIRUDI HAPA,HUTATHUBUTU.....
Hehehe! Engineers at work! Wanafanya upembuzi yakinifu! Hata mimi nimefanikiwa kucheka kiduchu!heeee hapo kwenye bold mpwa vipi tena maana nacheka mwenyewe sasa!!!
mpwa kazi yangu ya kukaanga viazi mi nakubali kila mtu anaweza hata kama hana hobi...labda kama hana tumbo tu
duh!Hehehe! Engineers at work! Wanafanya upembuzi yakinifu! Hata mimi nimefanikiwa kucheka kiduchu!
Hehehe! Engineers at work! Wanafanya upembuzi yakinifu! Hata mimi nimefanikiwa kucheka kiduchu!
duh!
nilikuwa kwenye mood ya kuelezea profession kati kati NIKAHARIBU
enewei....
naona WAMEIKIMBIA THREAD YAO!....vipi bado upo cafe?hakujaharibika, tuendeleeeee
bliv me nipo cafe, i had connection asbh mpaka around saa nane hivi then kaputinaona WAMEIKIMBIA THREAD YAO!....vipi bado upo cafe?
naona WAMEIKIMBIA THREAD YAO!....vipi bado upo cafe?
salamu kwa makatekista plzMi naona tuwahi Shekilango kwa ankal tukawahi products za wahandisi wa TBL/SBL! Hapa hakuna kinachoendelea!