Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,012
- 11,698
Mzee kayumba anaongea hadi vitu ambavyo havijui na amekua mropokajiHujui kitu kuhusu masuala ya intelijensia hivyo ni bora usiyaongelee. Kaa kimya kabisa kulinda heshima yako.
Kwa kutojua kwako masuala haya ndo maana eti unafikiri ikitokea vita kati ya tz na kenya bado tutatumia rada zenu!!!!!!! Aisee, unajiaibisha kabisa.
Hizo hoja zako nyingine za mfumo wa elimu, tunashukuru kwa ushauri wako, the rest kaa kimya.
yaani jinsi alivyoongea utadhani anaijua tanzania kuliko tanzania jinsi ilivyo